RUTO; ASKUL ANA UWEO WA KUONGOZA WIZARA YAKE
Rais William Ruto amesema kuwa Waziri wa Masuala ya Kikanda na Jumuiya ya Afrika Mashariki Beatrice Askul ana jukumu sio kwa Kenya pekee.
Kwa mujibu wa rais Ruto majukumu ya Askul yataenea hadi kwa nchi washirika, kwa kuwa pia atakuwa mjumbe wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA).
Ruto ameongeza kuwa ana imani na ujuzi wa uongozi wa Askul, na kwamba ana imani atatekeleza majukumu yake ipasavyo.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































