#Local News

RUTO AIDHINISHA RASMI AZMA YA ODINGA

Rais William Ruto amemwidhinisha rasmi hasimu wake wa muda mrefu wa kisiasa ambaye ni kiongozi wa Azimio Raila Odinga kuwania wadhifa wa uwenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika AUC wakati wa hafla ya kufana katika ikulu ya Nairobi.

Wakati wa hafla hiyo, Ruto ameonyesha imani yake katika uwezo wa Odinga kuongoza bara la Afrika hasa kutokana na tajriba yake katika ulingo wa uongozi.

Aidha, rais amesema kuwa Odinga atatimiza azimio ya bara hili kuimarika kiuchumi.

Wakati uo huo, Rais Ruto amezindua kamati itayoongoza kampeni za Odinga, zikiongozwa na katibu katika wizara ya masuala ya kigeni Korir Sing’oei.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO AIDHINISHA RASMI AZMA YA ODINGA

MUDAVADI; NAUNGA MKONA HAZIMA YA RAILA 100%

RUTO AIDHINISHA RASMI AZMA YA ODINGA

OGAMBA AHAKIKISHA SULUHU LIPO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *