VIONGOZI WA ODM KAKAMEGA WAMSIFU RUTO

Viongozi wa ODM kaunti ya Kakamega wamemtakia kiongozi wa chama hicho Raila Odinga ushindi katika kinyanganyiro cha mwenyekiti wa umoja wa afrika AUC.
Wakiongozwa na gavana wa kaunti hiyo ya Kakamega Fernadez Barasa viongozi hao wamemlimbikizia sifa rais william Ruto kwa kuunga mkono hazima ya Odinga kuchukua wadhifa huo.
Imetayarishwa na Janice Marete