SERIKALI KUSHIRIKIANA NA MASHIRIKA YA KIMATAIFA KUJENGA KIWANDA CHA NUCLEAR
Waziri wa nishati Opiyo Wandayi amefichua kuwa serikali ya kitaifa inalenga kutafuta ushirikiano katika hazima ya kujenga kiwanda cha Nuclear katika muda wa miaka kumi.
Kwa mujibu wa wandayi Kenya itashirikiana na mashirika na washirika wa kimataifa ili kuhakikisha taifa lin azingatia viwango vya juu vya usalama na utayari wa viwanda.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































