KUPPET KWALE;HATUENDI SHULE

Wanachama wa muungano wa walimu wa sekondari na vyuo vya kadri KUPPET tawi la Kwale wamesema kujwa hawatarejea kazini hadi malalamishi yao yatekelezwe yote.
Wakiongozwa na Leonard Oranje ambaye ni katibu wa muungano huo tawi la Kwale wameapa kususia kazi hadi matakwa yao yatekelezwe.
Imetayarishwa na Janice Marete