LIVERPOOL KUMENYANA NA REAL-MADRID

Liverpool itamenyana na watetetezi wa ligi ya mabingwa real-madrid katika kurejea kwao kwenye kinyanganyiro hicho kufuatia draw ya muonekano mpya.
Timu ya manchesta city na arselani zinacheza zote na tim u iliyofuzu katika nusu fainali msimu uliopita katika mechi zao huku aston vila wakichuana na mabingwa Scotland Celtic ,huku kila timu ikicheza mech inane katika awamu ya ligi mashindano ya mwaka huu yakishuhudia mabadiliko makubwa ikiwemo kuondolewa kwa hatua ya makundi.
Imetayarishwa na Janice Marete