#Local News

FAMILIA YA CHEPTEGEI YAWALAUMU POLISI

Familia ya mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegei sasa inailaumu serikali kwa kifo cha mwanariadha huyo ambaye ameaga dunia mapema leo, wakisema kabla ya kushambuliwa, waliwasilisha malalmishi ya kutishiwa kwake na mshukiwa kwa idara ya upelelezi DCI ila hakuna hatua iliyochukuliwa.

Wakionggozwa na babake Joshua Chaptegei, wamesema kifo cha mwanao ni pigo kwao kama familia, wakisema amekuwa akiwindwa na mshukiwa kwa muda.

Wakati uo huo, usimamizi wa hospitali ya Moi jijini Eldoret umefichua kwamba Cheptegei mwenye umri wa miaka 33, amefariki baada ya viungo vingi vya ndani ya mwili kushindwa kufanya kazi kutokana na majeraha ya moto.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

FAMILIA YA CHEPTEGEI YAWALAUMU POLISI

RAILA ANGALI MCHEZONI, ODM

FAMILIA YA CHEPTEGEI YAWALAUMU POLISI

MWAURA: SERIKALI KUKAGUA MIRADI KOTE NCHINI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *