MITIHANI YA KITAIFA INAENDELEA KAMA ILIVYOPANGWA

Watahiniwa wa mitihani ya kitaifa watalazimika kutumia mda wa ziada kuduru kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa kufuatia tangazo la wizara ya elimu kupitia katibu katika wizara ya elimu Belio Kipsang kwamba kalenda ya muhula wa tatu haitabadilika licha ya walimu kushiriki mgomo kwa wiki mbili.
Kipsang aidha ameongeza kuwa wanafunzi na walimu watalazim ika kutumia mda uliosalia muhula huu kukamilisha silabasi na kuandaa wanafunzi kushiriki mitihani ya k,itaifa na ile ya mwisho wa mwaka.
Imetayarishwa na Janice Marete