#Local News

MASENGELI APATIKANA NA HATIA YA KUPUUZA MAHAKAMA

Jaji wa mahakama kuu Lawrence Mugambi amempata na hatia ya kupuuza maagizo ya mahakama kaimu inspekta mkuu wa polisi Gilbert Masengeli, akisema ukwepaji wa adhabu na kupuuza mahakama hakuwezi kuruhusiwa na wahusika watawajibishwa.

Masengeli ametakiwa kufika mbele ya mahakama mara kadhaa bila mafanikio kutoa maelezo kuhusu waliko wakenya 3 waliotekwa nyara mwezi jana na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa polisi katika eneo la Kitengela.

Agizo la hivi punde limekuwa hii leo ambako amemtuma mahakamani naibu wake Eliud Lagat, Jaji Mugambi akisema mkuu huyo wa polisi ameishika mateka mahamama, na kuahidi kutoa uamuzi Ijumaa wiki hii.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MASENGELI APATIKANA NA HATIA YA KUPUUZA MAHAKAMA

RUTO AENDELEA KUAHIDI NYUMBA

MASENGELI APATIKANA NA HATIA YA KUPUUZA MAHAKAMA

VIONGOZI KUTOKA KAUNTI 3 WAMWIDHINISHA KINDIKI KUWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *