WADAU WA ELIMU WAPENDEKEZA SHULE ZIFUNGWE

Huku hayo yakijiri, wananchi na viongozi mbali mbali wameitaka serikali kubuni jopokazi la kuchunguza kiini cha mikasa ya moto shuleni na ghasia za wanafunzi ambazo zimekithiri nchini.
Baadhi ya washikadau wa elimu wamependekeza kwamba serikali ifunge shule kwa likizo fupi ili kuwapa wanafunzi muda bwa kupunguza msongo wa mawazo.
Haya yanajiri baada ya wizara ya elimu kushikilia kamba hakuna likizo fupi wala shughuli nyingine zisizo za masomo shuleni kwa muhula huu wa tatu.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa