#Local News

WAKENYA WATAKIWA KUUNGA MKONO UJUMBE WAAMANI UNAOENEZWA NA MAAFISA WA POLISI WA KENYA NCHINI HAITI

Wakenya wametakiwa kuunga mkono ujumbe wa kulinda amani nchini Haiti unaondeshwa na maafisa wa usala wa kenya na mataifa mengine.

Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amewapongeza maafisa wa usalama wa kenya wanaosaidia katika juhudi za kuleta amani nchini Haiti.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAKENYA WATAKIWA KUUNGA MKONO UJUMBE WAAMANI UNAOENEZWA NA MAAFISA WA POLISI WA KENYA NCHINI HAITI

MWANAFUNZI WA MWAKA WA NNE WA CHUO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *