WAHUDUMU WA AFYA WATAKA MALIPO YA MISHAHARA YAO LA SIVYO WATAGOMA

Vyama vya wahudumu wa afya vimepinga agizo la kujadiliana na serikali kuhusu maswala ya mishahara ya wanachama wao na bima ya matibabu.
Kulingana na mwenyekiti wa muungano wa maafisa wa kliniki Peterson Wachira wahudumu wa afya watagoma kila tarehe sita ya kila mwezi ikiwa hawatapokea malipo ya mishahara yao.
Imetayarishwa na Janice Marete