#Local News

WAKAAZI WA TRANSNZOIA WAMTAKA RUTO ATIMIZE AHADI ZAKE KWAO

Wakaazi wa kaunti ya Transnzoia wamemtaka rais William Ruto kutimiza ahadi alizotoa kwao wakati wa kampeni za uchaguzi wa 2022.

Kwa mujibu wa wakaazi hao rais Ruto aliahidi kuwapa shilingi milioni 100 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa soko la Masinde Muliro Complex lililoko mjini Kitale na vile vile kuanzisha ujenzi wa nyumba za bei nafuu hasa baada ya kuweka jiwe la msingi katika sehemu ya shamba la magereza.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAKAAZI WA TRANSNZOIA WAMTAKA RUTO ATIMIZE AHADI ZAKE KWAO

WANAFUNZI SITA WAFARIKI KWENYE AJALI YA BARABARA

WAKAAZI WA TRANSNZOIA WAMTAKA RUTO ATIMIZE AHADI ZAKE KWAO

WATU WANNE WAFARIKI BAADA YA BOMBA LA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *