#Local News

KNUT YASHINIKIZA MASLHAI BORA KWA WALIMU WA BONI

Muungano wa walimu wa shule za msingi KNUT umeshinikiza serikali kuangazia na kutimiza matakwa ya walimu wanaofunza kwenye shule zilizo ndani ya msitu wa Boni.

Walimu hao wanamtaka mwajiri wao TSC kuwapandisha vyeo na kuwapa marupurupu ya kufanya kazi katika mazingira magumu.

Aidha, wamelalamikia kudhoofika kwa wenzao kiafya kutokana na mazingira magumu wanamofanyia kazi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KNUT YASHINIKIZA MASLHAI BORA KWA WALIMU WA BONI

RUTO: UN IFANYIWE MAGEUZI KUZUIA MIGOGORO

KNUT YASHINIKIZA MASLHAI BORA KWA WALIMU WA BONI

TUZUNGUMZIANE, GAVANA NDETI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *