#Athletics #Sports

KIFO CHA KIPTUM KILICHUKUA NYOTA MKUBWA

Rais wa shirikisho la Riadha Duniani Sebastien Coe amesema kifo cha kusikitisha cha Kelvin Kiptum na rekodi yake kuu ya dunia ilikuwa muhimu katika kumtunuku zawadi maalum mbio za Chicago Marathon (1977) katika kitengo cha mashindano hayo.

Kiptum, ambaye alifariki katika ajali ya barabarani mapema mwaka huu, alivunja rekodi ya dunia ya mbio za marathon za wanaume mjini Chicago Oktoba mwaka jana, na kushinda kwa saa mbili na sekunde 35 na kuvunja rekodi ya awali ya Eliud Kipchoge kwa zaidi ya sekunde 30.

Tuzo ya urathi ya shirikisho la Riadha Ulimwenguni hutuzwa kwa mwanariadha kutokana na mchango bora kwa historia ya dunia nzima na maendeleo ya mchezo wa riadha ndani au nje ya uwanja.

Makala ya mwaka huu yatafanyika Jumapili, Oktoba 13.

Imetayarishwa na Nelson Andati

KIFO CHA KIPTUM KILICHUKUA NYOTA MKUBWA

LUANDA VILLA IKO KWA NAFASI NZURI MSIMU

KIFO CHA KIPTUM KILICHUKUA NYOTA MKUBWA

RUTO AKOSOA MFUMO WA UN, AU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *