#Local News

MOSES KURIA: KULIKUWA NA HAJA YA KUUNDA BIMA MPYA YA AFYA

Hakuna mkenya atakayekosa huduma za matibabu wakati huu wa mpito wa kuhamia kutoka NHIF hadi SHIF.

Kwa mujibu wa mshauri war ais William Ruto katika maswala ya kiuchumi Moses Kuria uamuzi wa kugura NHIF unafuatia kuwa hazina hiyo ilikuwa na uozo usioweza kusafishwa hivyo kulikuwa na haja ya kuunda bima mpya.

Imetayarishwa na Janice Marete

MOSES KURIA: KULIKUWA NA HAJA YA KUUNDA BIMA MPYA YA AFYA

WAKENYA WANAOTAFUTA AJIRA NJE YA NCHI WATAKIWA

MOSES KURIA: KULIKUWA NA HAJA YA KUUNDA BIMA MPYA YA AFYA

RAIS RUTO AFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *