#uncategorized

WAKENYA MILIONI 12 WAMEJIANDIKISHA KWA SHIFWAMEJIANDIKISHAWAKENYA MILIONI 12 WAMEJIANDIKISHA KWA SHIF

Wizara ya Afya imetangaza kuwa jumla ya Wakenya 12,704,548 wamehamia kwa Bima mpya ya Afya ya Jamii, ya SHIF chini ya Mamlaka ya Afya nchini, SHA kufikia jana Jumapili.

Katibu katika Wizara hiyo Harry Kimtai ametangaza ikiwa siku ya sita tangu kuzinduliwa kwa mpango wa usajili wa kitaifa.

Wafanyakazi 10,904 pia wamepewa mafunzo katika mchakato huo wa kuhamisha na kuwasajili Wakenya katika bima hiyo mpya.

Kulingana na Katibu Kimtai, waliojisali kwa bima mpya watapokea matibabu katika hospitali na zahanati za Level 2, Level 3 na 4 pamoja na hospitali za umma za Level 2 hadi Level 6. Chini ya bima himo
Jumla ya vituo vya afya 1,442 vya kidini vimejiandikisha na SHA.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAKENYA MILIONI 12 WAMEJIANDIKISHA KWA SHIFWAMEJIANDIKISHAWAKENYA MILIONI 12 WAMEJIANDIKISHA KWA SHIF

DIANA GICHENGO :RUTO AMEKIUKA KATIBA, HOJA YAKE

WAKENYA MILIONI 12 WAMEJIANDIKISHA KWA SHIFWAMEJIANDIKISHAWAKENYA MILIONI 12 WAMEJIANDIKISHA KWA SHIF

KENYA YATAKA IMF KUFANYA TATHMINI YA UONGOZI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *