#Local News

SENETA MAANZO ANADAI RIPOTI YA USHIRIKI WA UMMA KUHUSU KUONDOLEWA KWA GACHAGUA HAIKUWA YA HAKI

Seneta wa Makueni Dan Maanzo amebainisha kuwa ripoti ya ushiriki wa umma kuhusu kutimuliwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua iliyochapishwa na Bunge la Kitaifa haina maoni ya Wakenya na ilipotoshwa na watu binafsi kushinikiza kuondolewa kwa Gachagua.

Maanzo amehoji kuwa hakukuwa na ushiriki wa umma katika kaunti yake na badala yake idadi hiyo ilibadilishwa na Kamishna wa Kaunti.

Seneta Maanzo aidha amesema ripoti hiyo halali ingeonyesha Wakenya wengi wakipinga hatua hiyo na kuikosoa serikali ya Rais William Ruto.

Imetayarishwa na Janice Marete

SENETA MAANZO ANADAI RIPOTI YA USHIRIKI WA UMMA KUHUSU KUONDOLEWA KWA GACHAGUA HAIKUWA YA HAKI

OTIENO AJIUNGA NA KINYANG’ANYIRO CHA URAIS WA

SENETA MAANZO ANADAI RIPOTI YA USHIRIKI WA UMMA KUHUSU KUONDOLEWA KWA GACHAGUA HAIKUWA YA HAKI

AFISA WA IEBC AKAMATWA KWA MADAI YA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *