#Local News

NI KINDIKI, BUNGE LAIDHINISHA UTEUZI

Kenya inajiandaa kwa naibu mpya wa rais baada ya Kithure Kindiki kuidhinishwa na bunge la kitaifa kujaza pengo lililoachwa na Rigathi Gachagua aliyetbanduliwa kutoka mamlakani.

Uteuzi wa Kindiki umeidhinishwa na wabunge wote 236 waliokuwa kwenye bunge la kitaifa, bila mbunge yeyote kujiondoa au kupinga.

Kutokana na uteuzi huo, Rais William Ruto anatarajiwa kuchapisha jina la Kindiki kwenye gazeti rasmi la serikali kabla ya kuupishwa rasmi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

NI KINDIKI, BUNGE LAIDHINISHA UTEUZI

RAIS RUTO ATAKIWA KUTULIZA JOTO NCHINI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *