#Local News

JOHO WACHIMBAJI MADINI HARAMU WAKO HATARINI

Wachimbaji madini na ambao wamekuwa wakiendeleza shughuli hiyo kinyume na sheria wametakiwa kukoma mara moja.

Waziri wa madini na raslimali za baharini Ali Hassan Joho anasema kuwa asilimia 95 ya shughuli za madini zimekuwa zikiendeshwa kinyume cha sheria.

Joho aidha ameeleza haja ya maafisa zaidi kutengwa ili kufanikisha mchakato wa kuchunguz shughuli zote za madini zinazoendelezwa nchin I na ambazo kulingana naye zimekuwa zikihujumu uchumi wa taikfa unaotokana na madini.

Waziri huyo aidha ameytoa hakikisho kwamba wizara yake itatoa leseni kwa makampuni ya uchimbaji madini na kwamba kampuni hizo zitahitajika kuweka wazi aina ya madini inayochimba na pia kulipoa kiwango fulani cha fedha ili taifa lipate faida kutoka kwa uchimbaji madini huo.

Imetayarishwa na Janice Marete

JOHO WACHIMBAJI MADINI HARAMU WAKO HATARINI

KINA MAMA WA KAUNTI YA KILIFI WAHIMIZWA

JOHO WACHIMBAJI MADINI HARAMU WAKO HATARINI

WALIMU 46,000 WAPATA AJIRA YA KUDUMU, TSC

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *