RAIS RUTO AONGOZA GWARIDE LA KUFUZU KWA MAKAMANDA WA KFS

Rais William Ruto ameongoza gwaride la kufuzu kwa makamanda wa huduma ya misitu ya kenya KFS ambao weamekuwa kwenye mafunzo kwa miezi sita.
Akizungumza katika sherehe hizo zinazoendelea neo la gilgil kaunti ya Nakuru ruto amesisitiza majukumu wa maafisa hao katika kukabili athari za mabadiliko ya hali ya anga.
Imetayarishwa na Janice Marete