POLISI NAKURU WACHUNGUZA UVAMIZI WA ‘ASKARI JELA’

Polisi katika kaunti ya Nakuru wanaendeleza uchunguzi katika kisa ambapo afisa mmoja wa magereza ameuawa Jumapili usiku huku wenzake 3 wakijeruhiwa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana
Kulingana na wakazi, wanne hao walikuwa wakitekelza wizi katika kijiji cha Kapnandi kabla ya wakazi kuwaandamana na kumwua mmoja.
Hata hivyo, kamanda wa polisi Michael Mwaura amethibitisha uvamizi huo ila akadinda kuzungumzia uvamizi huo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa