#Local News

MAGAVANA WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA MGAO WA KAUNTI

Magavana wa eneo la kaskazini mwa Kenya wameendelea kuilaumu serikali ya Kenya baada ya kuchelewesha mgao wa fedha za kaunti kutoka hazina kuu ya kitaifa.

Akizungumza na wanahabari mjini Mombasa gavana wa Kaunti ya Lamu Issa Timami amesema kuwa serikali za kiaunti hazina fedha za kuendeleza shughuli za kaunti ikiwemo kuwalipa wafanyikazi wa kaunti.

Imetayarishwa na Janice Marete

MAGAVANA WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA MGAO WA KAUNTI

KINDIKI AMRITHI GACHAGUA, TENA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *