JE MWANGA WA MWANGAZA UTAZIMWA?

Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza natarajiwa kujua hatima yake ya kuendelea kuhudumu kama gavana wa kaunti ya meru hii leo.
Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wake wa iwapo italiondoa agizo linalozuia kuondolewa mamlakani kwa gavana wa Mwangaza au la.
Uamuizi huo vile vile utaamua iwapo gavana mwan gaza ataendelea kuhudumu kiama gavana wa kaunti ya Meru au la.
Imetayarishwa na Janice Marete