#Local News

WAKENYA WAENDELEA KUPINGA NYONGEZA YA USHURU

Wakenya kwa siku ya pili wamepata fursa ya kutoa maoni yao kuhusu miswada miwili ya wizara ya fedha inayopendekeza nyongeza ya ushuru, wakazi wa Mombasa wakionyesha kutoridhishwa na mapendekezo hayo.

Kwa mujibu wa wakazi hao, nyongeza ya ushuru itaongeza mzigo wa Maisha ambayo tayari yamewalemea.

Aidha, kamati ya bunge imekuwa na wakati mgumu kuwaeleza wakazi baadhi ya vipengee kwenye miswada hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAKENYA WAENDELEA KUPINGA NYONGEZA YA USHURU

WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA MBEGU HALALI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *