#Local News

WAKAZI WA BUSIA WATAKIWA KUJIANDIKISHA KWA SHA

Wito umetolewa kwa wakaazi wa kaunti ya Busia kuzidisha juhudi za kujiandikisha katika bima mpya ya afya kwa jamii SHA kwa manufaa yao binafsi.

Gavana wa kaunti ya Busia Paul Otwoma amelalamikia idadi ndogo ya wakazi wa kaunti hiyo wanaojitokeza kujisajili kwenye SHA huku akitoa wito kwa viongozi wa kisiasa kujitolea kuwahamasisha wakazi wa Busia kuhusu umuhimu wa kijiunga na SHA ili kuwapa moyo wakazi wajiandikishe ili waweze kunufaika na huduma mbali mbali za afya.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAKAZI WA BUSIA WATAKIWA KUJIANDIKISHA KWA SHA

ANDIENGO ALENGA KUBEBA TUZO KWA MAKALA YA

WAKAZI WA BUSIA WATAKIWA KUJIANDIKISHA KWA SHA

WAKAZI WA TRANSNZOIA WAHIMIZWA KUKUMBATIA MPANGO WA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *