‘WAKONGWE’ WA MOI WASHINIKIZA NAIBU CHANSELA AONDOKE

Serikali imetakiwa kumtimua msimamizi wa chuo kikuu cha Moi Profesa Isaac Kosgey na kuvunjilia mbali baraza la chuo hicho ili kuwawezesha wanafunzi chuoni humo kurejelea masomo na kuyakamilisha kwa wakati.
Wakizungumza na wanahabari, wanafunzi wa zamani wa chuo hicho wamelalamikia mgomo wa wahadhiri ambao umeendelea kwa miezi kadhaa, na kuwaonya wanasiasa dhidi ya kuingilia usimamizi wa chuo hicho.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa