#Local News

WAUGUZI WATOA ILANI YA MGOMO

Muungano wa wauguzi nchini umetoa makataa ya siku 21 kwa serikali kutoa kima cha shilingi bilioni 11 kwa serikali za kaunti ili kufanikisha zoezi la kuwaajiri wauguzi Zaidi la sivyo uitishe mgomo wa kitaifa na kulemaza matibabu.

Katika kikao na wanahabari jijini Mombasa, katibu mkuu wa muungano huo Seth Panyako amelalamikia jinsi mgao huo umecheleweshwa na kutatiza maslahi ya wauguzi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAUGUZI WATOA ILANI YA MGOMO

MADAKTARI KUTRH WAGOMA, WATATIZA MATIBABU

WAUGUZI WATOA ILANI YA MGOMO

NAIVAS WAILAZA MSA 4-1 NYUMBANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *