#Local News

RUTO AWAKEMEA WANAOPINGA SHA

Rais William Ruto amewataka wakenya kupuzilia mbali wanaopinga mpango wa afya wa SHA na badala yake akawataka wajisajili kwa wingi ili kupokea ambacho serikali imetaja kuwa matibabu bora.

Akizungumza kwenye kaunti ya Busia akiwa kwenye ziara, Rais amesisitiza kwamba chini ya mpango huo, wakenya watapata matibabu kwa gharama ya chini.

Aidha, ametaja pingamizi dhidi ya mpango huo kuwa porojo za kisiasa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO AWAKEMEA WANAOPINGA SHA

IKULU: HAKUTAKUWA NA KUPOTEZA AJIRA

RUTO AWAKEMEA WANAOPINGA SHA

AFUENI: MATABIBU WASITISHA MGOMO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *