KOECH: WAZIRI MUTURI ATAONDOLEWA MAMLAKANI

Kuna njama ya kumbandua mamlakani Waziri wa utumishi wa Umma, Justin Muturi, wakati wowote kuanzia leo, hay ani kwa mujibu wa Mbunge wa Belgut, Nelson Koech.
Koech aidha ameibua madai kwamba Muturi amejiletea hili mwenyewe kutokana na ukosoaji wake wa hivi karibuni dhidi ya serikali kuhusu kesi za kutekwa nyara kwa wakenya na mauaji ya kiholela, ambapo Muturi alilenga moja kwa moja kwa Rais William Ruto.
Imetayarishwa na Janice Marete