CITY THUNDER WAJIANDAA KWA MCHUANO MKALI

Licha ya kushindwa na mabingwa watetezi Nairobi City Thunder wikendi iliyopita, kocha mkuu wa Strathmore Blades Tony Ochieng amewapongeza wachezaji wake kwa uchezaji wao wa kuigwa.
Ochieng anaamini vijana wake walijituma zaidi licha ya kupoteza 48-88 kwa mabingwa wa kitaifa katika mechi ya ligi kuu ya wanaume ya Mpira wa Kikapu nchini.
Imetayarishwa na Nelson Andati