#Local News

HISIA ZA SHA

Licha ya Rais William Ruto kukiri kuwepo kwa changamoto katika utoaji huduma za matibabu chini ya bima ya SHA, baadhi ya wandani wake wameendelea kutetea bima hiyo wanayosisitiza kuwa inafanya kazi ipasavyo.

Katika mahojiano na runinga moja nchini mapema leo, seneta wa Bomet Hillary Sigei ameitetea bima hiyo, hatua ambayo imepingwa vikali na mwenzake wa Murang’a Joe Nyutu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

HISIA ZA SHA

WAITITU ANYIMWA DHAMANA NA MAHAKAMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *