SERIKALI NJIANI KUBUNI AJIRA, KINDIKI
Kama njia mojawapo ya kubuni nafasi nyingi za ajira kwa wakenya na kuimarisha uchumi wa nchi, serikali imesema inatoa kipaumbele kwa ufufuzi wa sekta za kilimo na mifugo, ikiwa ni mojawapo ya ajenda yake ya kubadilisha uchumi.
Haya ni kwa mujibu wa naibu rais Kithure Kindiki, akisema tayari serikali imepiga hatua katika kuanzisha vituo vya kiwanda katika serikali za kaunti ili kuafikia hatua hiyo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































