#Local News

RUTO ‘APIGA JEKI’ MASOMO MATHARE

Shughuli za masomo katika shule ya upili ya St. Theresa’s Mathare zimepigwa jeki baada ya Rais William kutoa ufadhili wa shilingi milioni 5 kufanikisha ujenzi wa bweni la wanafunzi na uchimbaji wa kisima cha maji.

Rais ametoa ufadhili huo kwenye siku yake ya pili ya ziara ya kaunti ya Nairobi, ambako pia amezindua ujenzi wa bweni la vitanda 800 katika shule ya msingi ya Mabatini.

Rais yuko kwenye ziara hiyo na naibu wake Kithure Kindiki.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO ‘APIGA JEKI’ MASOMO MATHARE

MZOZO WA ARDHI: WAKAZI MAKUENI WAHAMAISHWA

RUTO ‘APIGA JEKI’ MASOMO MATHARE

OMANYALA KUONGOZA KIKOSI CHA KENYA KWA MICHEZO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *