#Local News

MLINZI WA MSEMAJI WA IKULU AMUUA RAIA

Polisi wa Muthangari wanachunguza kisa ambapo mlinzi wa Msemaji wa Ikulu, Hussein Mohamed, anadaiwa kumpiga risasi na kumuua raia mmoja, Amos Lang’at (38), katika eneo la Muthangari, Nairobi.

Kwa mujibu wa ripoti ya polisi, mlinzi huyo, Muhammed Yusuf Keinan, amedai kushambuliwa na wanaume watatu akielekea usiku wa kuamkia leo, na kufyatua risasi, ambapo mmoja aliaga dunia huku wengine wakitoroka kwa pikipiki.

Afisa huyo, aliyepata majeraha mkononi, amelazwa hospitalini huku Polisi wakiendeleza uchunguzi, kubaini ikiwa alitenda kitendo hicho kwa kujilinda.

Imetayarishwa na Janice Marete

MLINZI WA MSEMAJI WA IKULU AMUUA RAIA

ALIYEKUWA MBUNGE WA KISUMU TOWN WEST KENN

MLINZI WA MSEMAJI WA IKULU AMUUA RAIA

SIASA MBAYA MAISHA MBAYA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *