DUALE AELEKEZA FIMBO KWA WAKUU
Waziri wa afya Aden Duale amewaagiza wasimamizi wa mashirika ya umma yaliyo chini ya wizara yake kuhakikisha maslahi ya mkenya yanawekwa mbele mbali na kumaliza visa vya ufisadi kwenye mashirika hayo.
Waziri huyo ametoa agizo hilo alipoongoza hafla ya kutia Saini mikataba ya utendakazi wa wenyeviti wa mashirika hayo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































