#Local News

‘MAZURI YA MGENI’ NAROK

Shughuli za kibiashara na masomo zinatarajiwa kuimarika katika kaunti ya Narok kufuatia uzinduzi wa mradi wa umeme wa Last Mile unaolenga kuunganisha makazi 15,000 na nguvu za umeme.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Rais William Ruto ambaye yuko kwenye ziara ya eneo la Southrift amewataka wakenya kushitikiana na serikali yake ili kufanikisha utekelezaji wa miradi zaidi ya maendeleo.

Naibu wake Kithure Kindiki na waziri wa ulinzi Soipan Tuya ni miongoni mwa viongozi walioandamana naye.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

‘MAZURI YA MGENI’ NAROK

ONG’ONDO: UFICHUZI MPYA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *