#Boxing #Sports

NCHI TANO ZAJIANDAA KWA MICHUANO YA NDONDI

Nchi tano zimethibitisha kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya ndondi ya ‘Challenge Omar Bongo Ondimba’ yaliyopangwa kufanyika Libreville, Gabon kuanzia Mei 30-Juni 11.

Nazo ni Congo Brazzaville, Cameroon, Angola, Zimbabwe, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Tarehe ya mwisho ya usajili, iliyopangwa awali Aprili 28, imeongezwa hadi Mei 16, 2025. 

PESA ZA ZAWADI zitatolewa kwa washindi wote wa medali za dhahabu, fedha na shaba.

Washindi wa medali za dhahabu watapata $1,600, fedha $1,300 na shaba $800.

Imetayarishwa na Nelson Andati

NCHI TANO ZAJIANDAA KWA MICHUANO YA NDONDI

ONG’ONDO: UFICHUZI MPYA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *