#Local News

PHILLIP AROKO KUSALIA KIZUIZINI KWA SIKU SABA ZAIDI

Phillip Aroko, mshukiwa wa mauaji ya Mbunge wa Kasipul Charles Were, ataendelea kuzuiliwa na polisi kwa siku saba kama ilivyoamriwa na mahakama ya chini, kwa mujibu wa agizo la Mahakama Kuu.

Mshukiwa huyo alifikishwa katika mahakama ya JKIA chini ya ombi maalum, ambapo Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) iliomba muda zaidi wa kumzuilia ili kukamilisha uchunguzi wa tukio hilo la mauaji.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *