#Local News

MURKOMEN: SERIKALI KUDHIBITI WIZI WA MIFUGO MARSABIT NA ISIOLO

Baadhi ya maafisa waandamizi wa usalama wakiongozwa na Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen wanatarajiwa kufanya mikutano hii leo katika kaunti za Marsabit na Isiolo ili kuweka mikakati ya kudhibiti hali ya usalama kufuatia ongezeko la visa vya wizi wa mifugo.

Waziri Murkomen amesema serikali imedhamiria kukabiliana vilivyo na wahalifu na kuhakikisha amani inarejea katika maeneo hayo yanayoathirika mara kwa mara na machafuko.

Imetayarishwa na Janice Marete

MURKOMEN: SERIKALI KUDHIBITI WIZI WA MIFUGO MARSABIT NA ISIOLO

KARUA AILAUMU TUME YA MAHAKAMA KWA KASORO

MURKOMEN: SERIKALI KUDHIBITI WIZI WA MIFUGO MARSABIT NA ISIOLO

WAKAZI WA ASHABITO KUNUFAIKA NA HUDUMA MPYA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *