#Local News

JIPU LA MGOMO LATUMBUKA KAKAMEGA

Ni afueni kwa wakazi wa Kakamega baada ya madaktari kwenye kaunti hiyo kusitisha mgomo kufuatia kutia Saini mkataba wa maelewano na serikali ya kaunti hiyo.

Kwenye kikao na wanahabari baada ya makubaliano hayo, mkuu wa huduma za afya Dakta Livingstone Imbayi, amesema kuwa watafanya kila wawezalo kuhakikisha makubaliano hayo yanazingatiwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *