#Local News

TUMIENI VIVUKO KUEPUSHA MAAFA, POLISI

Kamanda wa polisi wa kaunti ndogo ya Kikuyu Joseph Ndege, amewataka wakazi kuhakikisha wanatumia vivuko kwenye barabara kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru ili kuepusha visa vya ajali anavyosema vimeongezeka kutokana na utepetevu wa wakazi.

Wito wake umejiri baada ya dada wawili kugongwa na lori na kufariki papo hapo mapema leo kwenye barabara hiyo karibu nae neo la Gitaru.

Kulingana na walioshuhudia, waathiriwa walikuwa wakivuka barabara kwenye eneo lisilo na kivuko.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

TUMIENI VIVUKO KUEPUSHA MAAFA, POLISI

MADAKTARI WAONYA DHIDI YA VITISHO KIAMBU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *