#Local News

ROSE NJERI AACHILIWA KWA DHAMANA.

Mwanaharakati Rose Njeri yuko huru baada ya kuachiliwa kwa dhamani ya shilingi laki moja baada ya kufikishwa kotini mapema leo.

Njeri alikamatwa baada ya kuanzisha tovuti ya kuwawezesha wakenya kuwasilisha maoni yao kuhusu mswada wa fedha wa 2025 26 kwa karani wa bunge hatua iliyodaiwa kutatiza shughuli za bunge.

Hakimu Geoffrey Onsarigo atatoa uamuzi wake tarehe 20 mwezi huu kuhusu iwapo Njeri atajibu mashtaka yanayomkabili au la.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

ROSE NJERI AACHILIWA KWA DHAMANA.

ROSE NJERI AFIKISHWA KOTINI

ROSE NJERI AACHILIWA KWA DHAMANA.

MPANGO WA SHA KUBORESHWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *