#Local News

ATAHESHIMU MAHAKAMA? RUTO NJIA PANDA

Hatma ya IEBC mpya sasa iko mikononi mwa mahakama kuu, ambayo uamuzi wake utaamua iwapo Rais William Ruto atachapisha kwenye gazeti rasmi la serikali au la, majina ya watu 7 akiwemo mwenyekiti Erastus Ethekon na makamishna 6 na kisha kuapishwa kwao.

Hii ni baada ya bunge hapo jana kwa kauli moja kuidhinisha uteuzi wa 7 hao, waliopigwa msasa na kamati ya sheria na masuala ya haki bungeni Jumamosi iliyopita.

Hata hivyo, mahakama wiki jana ilisitisha majina yao kuchapishwa Pamoja na kuapishwa kwao hadi kesi inayopinga uteuzi huo itakaposikilizwa na kuamuliwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ATAHESHIMU MAHAKAMA? RUTO NJIA PANDA

KOSKEI AWAONYA MAKATIBU WA WIZARA

ATAHESHIMU MAHAKAMA? RUTO NJIA PANDA

NIMROD AJIKAANGA KITUI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *