#Local News

WASHUKIWA 3 WA MAUAJI YA WERE WAACHILIWA

Washukiwa watatu waliohusishwa na mauaji ya mbunge wa Kaspul Charles Were wameachiliwa huru.Tatu hao Douglas Muchiri Wambugu,Juma Ali Haikal na David Mihigo wameachiliwa baada ya mahakama kupitia hakimu Irene Gishobi kuamua kuwa hakuna Ushahidi wa kutosha wa kuwahusisha na mauaji ya mbunge huyo.

Hata hivyo washukiwa wengine wanaendelea kuzuiliwa kufuatia kifo cha mbunge huyo aliyepigwa risasi na washukiwa waliotoroka kwa kutumia piki piki.

Imetayarishwa na Maureen Makhobe

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *