#Local News

AJIRA YA CLIMATE WORX

Zaidi ya vijana 100,000 katika kaunti 46 nchini watanufaika na mpango wa kazi mtaani chini ya mpango wa Climate Worx uliozinduliwa na serikali ili kutoa nafasi za ajira kwa vijana.

Katibu katika wizara ya usalama Raymond Omolo na mwenzake wa makaazi Charles Hinga, wamesema usajili wa watakaojiunga na mradi huo unatarajiwa kuanza rasmi katika muda wa siku 10 zijazo.

Usajili huo utaendeshwa na wakuu wa serikali walioko kwenye kaunti husika.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *