#Local News

UHABA WA CHANJO NCHINI

Wizara ya afya imekiri kuwepo uhaba wa chanjo hasa zinazotolewa kwa watoto kaunti 12 zikiathirika zaidi.

Kupitia ujumbe uliotolewa na wizara hiyo kuna uhaba wa chanjo muhimu hasa ile ya BCG ya kuzuia ugonjwa wa kifuo kikuu na ile ya Polio ikisema dozi zilizosalia zinaweza kutumika tu kwa muda wa majuma mawili.

Katibu katika wizara ya afya Dkt Ouma Oluga anasema hali hii imetokana na changamoto za kimataifa za usambazaji wa chanjo hizo na kuwa Kenya ni miongoni mwa mataifa yaliyoathirika.

Imetayarishwa na Maureen Makhobe

UHABA WA CHANJO NCHINI

NDOTO YA IRAN KUSHUUHUDIA KOMBE LA DUNIA

UHABA WA CHANJO NCHINI

IPOA YAANZISHA UCHUNGUZI NAROK

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *