#Local News

ULANGUZI WA FIGO: MBUNGE ADAI DCI INAMTISHIA

Mbunge wa Nandi Hills Bernard Kitur amedai kwamba Maisha yake yako hatarini baada yake kufichua mtandao wa kimataifa unaojihusisha na ulanguzi wa viungo vya mwili wa binadamu, anaosema unashirikiana na baadhi ya hospitali na kufanikishwa na maafisa wa usalama.

Akizungumza akiwa mbele ya kamati ya afya bungeni kuthibitisha madai kuhusu ulanguzi huo, Kitur amesema kuwa wagonjwa wanaohitaji viungo hivyo hutoka Israel, Uganda, Sudan na Ujerumani kabla ya kurejeshwa makwao.

Mbunge huyo anadai kuandamwa na idara ya upelelezi DCI kuhusiana na Sakata hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ULANGUZI WA FIGO: MBUNGE ADAI DCI INAMTISHIA

MZIGO WA KARO MLANGONI

ULANGUZI WA FIGO: MBUNGE ADAI DCI INAMTISHIA

AJIRA YA CLIMATE WORX

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *