RUTO: TUNAKULA MATUNDA YA ‘MAAMUZI MAGUMU’
Tunavuna matunda ya maamuzi magumu na yenye manufaa kwa taifa ambayo sasa yamechangia kuimarika kwa uchumi wa nchi.
Ndiyo kauli ya Rais William Ruto, akizungumza kwenye kikao na wasanii katika Ikulu ya Nairobi.
Rais amesisitiza kwamba hakuna muda ambao umepotea katika siku zake 1,000 mamlakani, akisema kila siku imekuwa ni kuchapa kazi.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































