#Local News

KENYA YAJITENGA NA MAPIGANO SUDAN

Serikali ya Kenya imejitenga na ripoti kwamba inafadhili mapigano yanayoendelea nchini Sudan kati ya jeshi la serikali na kundi la wapiganaji la RSF, ikisema inajihusisha tu kwenye mapigano hayo kama mpatanishi.

Katika kikao na wanahabari jijini Nairobi, msemaji wa serikali Isaac Mwaura, amesema ulinzi wa amani na utatuaji wa mizozo ya Kenya unatokana na mchakato wa mamlaka ya IGAD unaoongozwa na Rais William Ruto ili kuzipatanisha pande zinazozozana nchini humo.

Imetayrishwa na Antony Nyongesa

KENYA YAJITENGA NA MAPIGANO SUDAN

MAHAKAMA YAHARAMISHA KARO YA ZIADA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *